Ufafanuzi wa mharibifu katika Kiswahili

mharibifu

nominoPlural waharibifu

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kuharibu vitu.

    mharabu, fisadi, mwangamizi

Asili

Kar

Matamshi

mharibifu

/mharibifu/