Ufafanuzi wa mharita katika Kiswahili

mharita

nominoPlural miharita

  • 1

    mti mkubwa wenye majani madogo uzaao matunda madogo ya mviringo ambayo maganda yake hutumika kufulia nguo, agh. za rangirangi, zinazodhaniwa kuwa zinachuja, hasa buibui au nguo za hariri.

    mmwaka

Asili

Kar

Matamshi

mharita

/mharita/