Ufafanuzi wa mhasi katika Kiswahili

mhasi

nominoPlural wahasi

  • 1

    mtu au mnyama aliyeharibiwa uwezo wa kuzaa.

  • 2

    mtu anayewaondolea wanyama au watu wengine uwezo wa kiume.

Matamshi

mhasi

/mhasi/