Ufafanuzi wa mhemko katika Kiswahili

mhemko

nominoPlural mihemko

  • 1

    hali ya kupandwa na hasira au hamu kubwa.

Matamshi

mhemko

/mhɛmkɔ/