Ufafanuzi wa mhifadhi katika Kiswahili

mhifadhi

nomino

  • 1

    mtu anayechunga na kuangalia kitu kisiharibiwe.

    mdhibiti

Asili

Kar

Matamshi

mhifadhi

/mhifa├░i/