Ufafanuzi wa mhimili katika Kiswahili

mhimili

nominoPlural mihimili

  • 1

    kitu kinachozuia kingine kuanguka k.v. boriti za nyumba za kuzuia mapau ya dari.

    mwimo, mwao, gadimu

  • 2

    nguzo zinazosimama pembezoni mwa mlango au dirisha.

    mwimo, fremu

Asili

Kar

Matamshi

mhimili

/mhimili/