Ufafanuzi wa mhina katika Kiswahili

mhina

nomino

  • 1

    mti mdogo wenye majani madogo ya duara ambayo yakikaushwa na kutwangwa unga wake hutiwa maji na kutumiwa na wanawake kujipaka kucha, viganja, miguu, n.k. kama mapambo na kuvibadilisha kuwa rangi nyekundu.

    mhanuni

  • 2

    aina ya ugonjwa.

Asili

Kar

Matamshi

mhina

/mhina/