Ufafanuzi msingi wa mhindi katika Kiswahili

: mhindi1Mhindi2

mhindi1

nomino

  • 1

    mmea unaozaa mahindi.

Matamshi

mhindi

/mhindi/

Ufafanuzi msingi wa mhindi katika Kiswahili

: mhindi1Mhindi2

Mhindi2

nomino

  • 1

    mtu wa asili ya Bara Hindi.

    Mwasia

Matamshi

Mhindi

/mhindi/