Ufafanuzi wa mhitaji katika Kiswahili

mhitaji

nominoPlural wahitaji

  • 1

    mtu mwenye haja ya kitu au jambo fulani kutokana na k.v. shida aliyonayo.

    fakiri

Asili

Kar

Matamshi

mhitaji

/mhitaʄi/