Ufafanuzi wa mhodhi katika Kiswahili

mhodhi

nominoPlural wahodhi

  • 1

    mtu anayelundika mali au bidhaa.

    mkiritimba

Asili

Kar

Matamshi

mhodhi

/mhɔði/