Ufafanuzi wa mhoro katika Kiswahili

mhoro

nomino

  • 1

    mti uliochongwa kama mkuki na kukitwa katika mtego wa mashimo ya wanyama.

Matamshi

mhoro

/mhɔrɔ/