Ufafanuzi wa mhudumu katika Kiswahili

mhudumu

nominoPlural wahudumu

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kutoa huduma kwa watu wengine k.v. kufagia ofisi, kupika chai ya ofisini au kuuza vinywaji kwenye baa.

Asili

Kar

Matamshi

mhudumu

/mhudumu/