Ufafanuzi wa mhunzi katika Kiswahili

mhunzi

nominoPlural wahunzi

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kufua vitu vya madini ya chuma au bati.

    msana, mfuachuma

Matamshi

mhunzi

/mhunzi/