Ufafanuzi msingi wa mhusika katika Kiswahili

: mhusika1mhusika2

mhusika1

nominoPlural wahusika

 • 1

  mtu anayekuwa na kauli au uhusiano wa karibu na kitu au mtu fulani.

Asili

Kar

Matamshi

mhusika

/mhusika/

Ufafanuzi msingi wa mhusika katika Kiswahili

: mhusika1mhusika2

mhusika2

nominoPlural wahusika

Fasihi
 • 1

  Fasihi
  kiumbe aliyesawiriwa au kubuniwa katika kazi ya fasihi anayemwiga au kufanana na kiumbe halisi duniani kwa kiasi fulani.

  ‘Mhusika bapa’
  ‘Mhusika nguli’
  ‘Mhusika mkuu’
  ‘Mhusika msaidizi’
  ‘Mhusika sugu’
  ‘Mhusika wa mikoba minne/duara bapa’

Asili

Kar

Matamshi

mhusika

/mhusika/