Ufafanuzi wa Mijikenda katika Kiswahili

Mijikenda

nominoPlural Mijikenda

  • 1

    jina linalotumiwa kuwaitia watu wenye lugha zilizokaribiana waliomo katika kundi la makabila tisa yaliyoko sehemu za pwani ya Kenya, yaani Wadigo, Warabai, Wakambe, Wajibana, Waribe, Wagiriama, Waduruma, Wachonyi na Wakauma.

Matamshi

Mijikenda

/miʄikɛnda/