Ufafanuzi wa mikogo katika Kiswahili

mikogo

nominoPlural mikogo

  • 1

    mwendo au kitendo cha kuonyesha maringo.

    ‘Pondamali hudaka mipira kwa mikogo’
    majitwezo, mbwembwe, mashobo, mapozi, goto

Matamshi

mikogo

/mikɔgɔ/