Ufafanuzi wa miligramu katika Kiswahili

miligramu

nomino

  • 1

    kipimo cha metriki cha uzito wa sehemu moja ya elfu moja ya gramu.

Asili

Kng

Matamshi

miligramu

/miligramu/