Ufafanuzi wa mimbari katika Kiswahili

mimbari

nominoPlural mimbari

  • 1

    kitu kama kibanda kidogo au kijukwaa chenye ngazi za kupandia kinachojengwa msikitini, kanisani au nje kwenye shughuli k.v. ya Maulidi, ili kumwezesha mtu kusimama na kuhubiri, kutoa hotuba au mawaidha.

Asili

Kar

Matamshi

mimbari

/mimbari/