Ufafanuzi wa mini katika Kiswahili

mini

nominoPlural mini

  • 1

    nguo fupi ya kike inayokomea sehemu ya juu ya magoti.

Asili

Kng

Matamshi

mini

/mini/