Ufafanuzi wa minya katika Kiswahili

minya

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    bana kwa nguvu kitu kilicho laini k.v. jipu.

    ‘Minya koo’
    binya, finya

Matamshi

minya

/miɲa/