Ufafanuzi wa miraa katika Kiswahili

miraa

nominoPlural miraa

  • 1

    kikonyo kirefu cha mraa chenye majani marefu yanayotafunwa kama kileo au uraibu.

    mirungi, mairungi

Matamshi

miraa

/mira:/