Ufafanuzi wa mirathi katika Kiswahili

mirathi

nominoPlural mirathi

  • 1

    vitu na mali zilizoachwa na mtu aliyekufa na kupewa watu wake kwa mujibu wa mipango maalumu.

    urithi

  • 2

    Kidini
    elimu maalumu inayohusika na ugawaji wa mali ya marehemu katika dini ya Uislamu.

Matamshi

mirathi

/miraθi/