Ufafanuzi wa misa katika Kiswahili

misa

nominoPlural misa

Kidini
  • 1

    Kidini
    sala inayoongozwa na padri, mchungaji au kasisi madhabahuni inayoambatana na sakramenti ya ushirika mtakatifu.

    ‘Padri anasoma misa sasa’

Asili

Kng

Matamshi

misa

/misa/