Ufafanuzi wa miski katika Kiswahili

miski

nomino

  • 1

    unga mweusi unaonukia ambao hutumiwa kutengenezea mafuta ya manukato.

Asili

Kar

Matamshi

miski

/miski/