Ufafanuzi wa mitegesho katika Kiswahili

mitegesho

nomino

  • 1

    matayarisho au maandalizi yafanywayo na mtumiaji wa kompyuta, simu ya mkononi au loho ya elektroniki ili kifaa hicho kifanye kazi apendavyo mtumiaji.

Matamshi

mitegesho

/mitɛgɛ∫ɔ/