Ufafanuzi wa miundombinu katika Kiswahili

miundombinu

nominoPlural miundombinu

  • 1

    mfumo k.v. barabara na simu unaowezesha shughuli fulani kufanyika kwa ufanisi zaidi.

Matamshi

miundombinu

/miwundÉ” mbinu/