Ufafanuzi msingi wa mizani katika Kiswahili

: mizani1mizani2

mizani1

nomino

 • 1

  chombo cha kupimia uzito wa vitu.

  tayu

 • 2

  idadi ya silabi katika mstari wa shairi au utenzi.

Matamshi

mizani

/mizani/

Ufafanuzi msingi wa mizani katika Kiswahili

: mizani1mizani2

mizani2

nomino

 • 1

  utulivu wa fikira wa kumwezesha mtu apime jambo kwa busara.

Asili

Kar

Matamshi

mizani

/mizani/