Ufafanuzi wa mizania katika Kiswahili

mizania

nominoPlural mizania

  • 1

    hesabu za kuonyesha usawa wa matumizi na mapato ya biashara, shirika au nchi.

    ‘Karatasi ya mizania’

Asili

Kar

Matamshi

mizania

/mizanija/