Ufafanuzi wa mizungu katika Kiswahili

mizungu

nominoPlural mizungu

  • 1

    matendo ya hekima yanayofunzwa na kufanywa kwa siri, agh. katika kumbi za uganga.

    kinyago

  • 2

    kiinimacho, mazingaombwe, mazingazi, ujanja, mauzauza, mbinu

Matamshi

mizungu

/mizungu/