Ufafanuzi wa mjafari katika Kiswahili

mjafari

nominoPlural mijafari

  • 1

    mti wenye shina lenye majani madogo, miba na maua ya manjano, mizizi yake hutumiwa kuwa ni dawa ya kifua na tumbo.

Asili

Kar

Matamshi

mjafari

/mʄafari/