Ufafanuzi wa mjakaranda katika Kiswahili

mjakaranda

nominoPlural mijakaranda

  • 1

    mti wenye maua ya zambarau, buluu au urujuani unaopatikana zaidi katika nchi za joto.

Asili

Kng

Matamshi

mjakaranda

/mʄakaranda/