Ufafanuzi wa mjanja katika Kiswahili

mjanja

nominoPlural wajanja

  • 1

    mtu mwenye hila.

    mdanganyifu, ayari, laghai, guberi, mzushi, ibilisi, Mswahili, baramaki

  • 2

    mtu mwenye akili.

    hodari

Matamshi

mjanja

/mʄanʄa/