Ufafanuzi wa mjasiriamali katika Kiswahili

mjasiriamali

nominoPlural wajasiriamali

  • 1

    mtu anayewekeza katika biashara ndogondogo.

Matamshi

mjasiriamali

/mʄasirijamali/