Ufafanuzi wa mjeledi katika Kiswahili

mjeledi

nomino

  • 1

    kitu kinachonepa k.v. kiboko cha kuchapia.

Asili

Kar

Matamshi

mjeledi

/mʄɛlɛdi/