Ufafanuzi wa mjengo katika Kiswahili

mjengo

nomino

  • 1

    mtindo wa kujenga.

  • 2

    mti unaotumika kujengea.

Matamshi

mjengo

/mʄɛngɔ/