Ufafanuzi msingi wa mji katika Kiswahili

: mji1mji2mji3

mji1

nominoPlural miji

 • 1

  makazi ya watu wengi kulikojengwa nyumba nyingi na kunakofanyika shughuli mbalimbali.

  baladi

 • 2

  nyumba moja au zaidi wanamoishi watu wa familia moja.

  kaya

Matamshi

mji

/mʄi/

Ufafanuzi msingi wa mji katika Kiswahili

: mji1mji2mji3

mji2

nominoPlural miji

 • 1

  sehemu ya kati ya chupa ya mwanamke aliye na mimba inayounganisha mtoto na mwili wa mama.

 • 2

  ruwaza iliyopo sehemu ya katikati ya kanga au nguo.

Matamshi

mji

/mʄi/

Ufafanuzi msingi wa mji katika Kiswahili

: mji1mji2mji3

mji3

nominoPlural miji

 • 1

  sehemu ya ndani ya kaburi anapolazwa maiti.

  mwanandani, luhudi

Matamshi

mji

/mʄi/