Ufafanuzi wa mjohoro katika Kiswahili

mjohoro

nominoPlural mijohoro

  • 1

    mti wenye majani wakati wote ambayo ni membamba yaliyojipanga katika jozi, maua ya rangi ya manjano na vishada vya tumba ndefu nyembamba.

Matamshi

mjohoro

/mʄɔhɔrɔ/