Ufafanuzi wa mjoli katika Kiswahili

mjoli

nominoPlural wajoli

  • 1

    kizalia cha mtumwa aliyeachwa huru.

Matamshi

mjoli

/mʄɔli/