Ufafanuzi msingi wa mjomba katika Kiswahili

: mjomba1mjomba2mjomba3

mjomba1

nominoPlural wajomba, Plural mijomba

 • 1

  ndugu wa kiume wa mama; kaka wa mama.

  hau

Matamshi

mjomba

/mʄɔmba/

Ufafanuzi msingi wa mjomba katika Kiswahili

: mjomba1mjomba2mjomba3

mjomba2

nominoPlural wajomba, Plural mijomba

 • 1

  mtu wa pwani kama anavyoitwa na watu wa bara.

  Mswahili

 • 2

  mtu wa bara kama anavyoitwa na watu wa pwani.

Matamshi

mjomba

/mʄɔmba/

Ufafanuzi msingi wa mjomba katika Kiswahili

: mjomba1mjomba2mjomba3

mjomba3

nominoPlural wajomba, Plural mijomba

 • 1

  samaki wa maji ya chumvi aliye mwembamba na mrefu.

Matamshi

mjomba

/mʄɔmba/