Ufafanuzi wa mkaajabali katika Kiswahili

mkaajabali

nomino

  • 1

    mti mdogo unaoota kwenye sehemu zenye mawe na wenye majani ya rangi ya waridi na nyeupe ambayo ni dawa ya macho.

Matamshi

mkaajabali

/mka:Ê„abali/