Ufafanuzi msingi wa mkabala katika Kiswahili

: mkabala1mkabala2

mkabala1

kihusishi

 • 1

  hali ya kuwa uso kwa uso na; mbele ya.

  ‘Nyumba inayofuata iko mkabala na jengo la benki’

Asili

Kar

Matamshi

mkabala

/mkabala/

Ufafanuzi msingi wa mkabala katika Kiswahili

: mkabala1mkabala2

mkabala2

nominoPlural mkabala

 • 1

  uhusiano baina ya mtu na mwingine, pande mbili au zaidi.

  ‘Juma hana mkabala mzuri na majirani zake’

 • 2

  utaratibu unaofuatwa kukabili jambo.

Asili

Kar

Matamshi

mkabala

/mkabala/