Ufafanuzi wa mkabidhiwa katika Kiswahili

mkabidhiwa

nomino

  • 1

    mtu atunzaye mali kwa ajili ya mwingine.

Asili

Kar

Matamshi

mkabidhiwa

/mkabiĆ°iwa/