Ufafanuzi wa mkadi katika Kiswahili

mkadi

nominoPlural mikadi

  • 1

    mti mrefu wenye maua meupe yenye mibamiba na harufu nzuri, agh. huota kandokando ya bahari.

Asili

Kar

Matamshi

mkadi

/mkadi/