Ufafanuzi wa mkaguzi katika Kiswahili

mkaguzi

nomino

  • 1

    mtu anayechunguza na kuhakikisha kama kazi inakwenda sawasawa.

    mdhibiti, inspekta

Matamshi

mkaguzi

/mkaguzi/