Ufafanuzi wa mkahale katika Kiswahili

mkahale

nominoPlural mikahale

  • 1

    kijiti maalumu cha kupakia wanja machoni.

Asili

Kar

Matamshi

mkahale

/mkahalɛ/