Ufafanuzi msingi wa mkahawa katika Kiswahili

: mkahawa1mkahawa2

mkahawa1

nominoPlural mikahawa

  • 1

    mti unaozaa kahawa.

    mbuni

Matamshi

mkahawa

/mkahawa/

Ufafanuzi msingi wa mkahawa katika Kiswahili

: mkahawa1mkahawa2

mkahawa2 , mgahawa

nominoPlural mikahawa

  • 1

    pahali panapouzwa kahawa, chai, au pamoja na soda na vyakula vingine.

    hoteli

Matamshi

mkahawa

/mkahawa/