Ufafanuzi wa mkaka katika Kiswahili

mkaka

nominoPlural mikaka

  • 1

    mti wa porini wenye kiini cheusi, mgumu sana na wenye majani kidogo sana.

    mkurungu

Matamshi

mkaka

/mkaka/