Ufafanuzi wa mkalatusi katika Kiswahili

mkalatusi, mkalitusi

nominoPlural mikalatusi

  • 1

    mti mrefu wenye mbao ngumu na magamba yake hutumiwa kuwa dawa k.v. ya mafua, n.k..

Matamshi

mkalatusi

/mkalatusi/