Ufafanuzi wa mkalimani katika Kiswahili

mkalimani

nominoPlural wakalimani

  • 1

    mtu afasiriye papo kwa papo mazungumzo kutoka lugha moja kwenda lugha nyingine.

    mtarijumani, mtapta

Asili

Kar

Matamshi

mkalimani

/mkalimani/