Ufafanuzi wa mkalio katika Kiswahili

mkalio

nominoPlural mikalio

  • 1

    ada inayotolewa na kupewa wenye kumhudumia biharusi wakati wa siku saba za mwanzo.

Matamshi

mkalio

/mkalijɔ/